Kituo cha mafunzo ya Kilimo na Mifugo Kilacha (KALTC) kinatangaza nafasi za masomo Kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada katika Fani zifuatazo:-
- Diploma in Agriculture Production
- Diploma in Animal Health and Production
- Certificate in Agriculture Production
- Certificate in Animal Health and Production
- Certificate in Tour Guiding and Tourism
- Certificate in Food Production and Services.
Pakua fomu ya kujiunga na chuo ukurasa wetu wa Training na utume maombi yako sasa.